Ahoua akabidhiwa jezi namba 10 CR Belouizdad.
Joyce Shedrack
January 24, 2026
Share :
Aliyekuwa kiungo wa @simbasctanzania Jean Ahoua ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya CR Belouizdad ya Algeria amekabidhiwa jezi namba 10.

Nyota huyo aliyeuzwa na wekundu wa msimbazi Simba ameanza rasmi mazoezi na timu yake hiyo.





