Airport ya Msalato Dodoma kukamilika ni suala la muda tu
Sisti Herman
January 16, 2026
Share :

Kutoka kuwa ramani hadi katika uhalisia,
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato uliopo jijini Dodoma unazidi kuchukua sura mpya, ambapo kwa sasa umefikia 94% katika ujenzi wa miundombinu na 65% katika upande wa majengo.





