pmbet

Aishi Manula aongozana na Simba safari ya Zanzibar.

Joyce Shedrack

May 21, 2025
Share :

Kipa mkongwe wa Simba SC Aishi Manula ni sehemu ya wachezaji wa timu hiyo walioongozana na kikosi hicho kwenda Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya pili dhidi ya RS Berkane ya Morocco.

Manula aliyepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo hakuwepo kwenye sehemu ya timu iliyokwenda nchini Morocco katika mchezo wa kwanza uliomalizika kwa Simba SC kufungwa mabao
2-0.

 

Mchezo huo wa pili utachezwa Jumapili Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Aman Visiwani humo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet