pmbet

Amorim afikia 'level' za Ferguson na Busby Man United

Sisti Herman

December 13, 2024
Share :

Baada ya kuisaidia klabu yake kushinda 2-1 dhidi ya Viktoria Plzen, Ruben Amorim ameingia kwenyerekodi ya kuwa kocha wa tatu wa Manchester United kushinda mechi 3 mfululizo za kwanza michuano ya Ulaya akiungana na Sir Alex Ferguson na Sir Matt Busby.

Amorim ameshinda michezo yake mitatu ya mwanzo ya UEFA Europa League ambayo ni;

- PAOK Thesaloniki, 2-0
- Bodo/Glimt, 3-2
- Viktora Plzen, 2-1

Kwenye mchezo wa jana Man Utd imeshinda kwa magoli ya kipindi cha pili ya nyota wa Denmark Rasmus Hojlund ambaye alianzia benchi na kuingia kipindi cha pili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet