pmbet

Arsenal na Man Utd wanamfuatilia kwa ukaribu Chris Nkunku

Eric Buyanza

May 20, 2025
Share :

Mshambuliaji wa Chelsea Christopher Nkunku huenda akaondoka Stamford Bridge mwishoni mwa msimu baada ya vilabu kadhaa kuonesha nia ya kumsajili. 

Nkunku ana mkataba Stamford Bridge hadi mwaka 2029, lakini vilabu vya Arsenal, Liverpool, Man Utd, West Ham na PSG wote wana nia ya kupata huduma yake.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 27, amechangia mabao 14 na asisti 5 katika michezo 42 katika mashindano yote.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet