pmbet

Arsenal walicheza, walitusumbua lakini tumefika fainali - Luis

Eric Buyanza

May 8, 2025
Share :

Baada ya kikosi chake kufanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuitandika Arsenal, kocha wa PSG, Luis Enrique amesema hakubaliani na wale wanaosema kuwa Arsenal ilistahili kushinda usiku wa jana.

"Mikel Arteta ni rafiki yangu mkubwa, lakini sikubaliani kabisa kwamba Arsenal ilistahili kushinda," Luis Enrique alisema. 

"Walicheza wanavyotaka na wanapenda kucheza, lakini tulifunga mabao mengi kuliko wao na hilo ndilo jambo muhimu zaidi.

"Arsenal ilicheza mchezo mzuri na tuliteseka sana, lakini tunastahili kufika fainali." alimalizia Luis Enrique.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet