pmbet

Arsenal yafukizia saini ya Benjamini Sesko kutoka RB Leipzig.

Joyce Shedrack

June 7, 2025
Share :

Klabu ya Arsenal imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa RB Leipzig raia wa Slovenia Benjamin Šeško ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao kuelekea msimu ujao wa mashindano.

Latest news about Benjamin Šeško RB Leipzig | BeSoccer

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22 msimu uliopita kwenye ligi kuu ya Ujerumani alionesha kiwango bora akiwa na RB Leipzig akicheza michezo 33 na kufunga mabao 13 huku akitoa pasi 5 za magoli .

 

 Šeško alijiunga na Leipzig mwaka 2023 na bado ana mkataba na klabu yake unaotarajia kutamatika Juni 30 mwaka 2029.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet