pmbet

Ashiriki ngono na wanawake 400+ wakiwemo wake za mawaziri na kuvujisha

Sisti Herman

November 4, 2024
Share :

Mikanda ya video fupi zaidi ya 400 za ngono zinazodaiwa kumhusisha Baltasar Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) nchini humo akiwa na wanawake kwa nyakati tofauti ndani ya ofisi ya umma.

Engonga anadaiwa kuonekana kwenye video hizo na wanawake, akiwemo mke wa kaka yake, mke wa mkuu wa usalama wa Rais, binamu yake na wengine.

Aidha, kanda hizo zilipatikana katika ofisi yake binafsi zikiwa zimechukuliwa kwa ridhaa na zimevuja mtandaoni, hali iliyoleta taharuki kwenye vyombo vya habari.

Engonga, ambaye ameoa na ana watoto sita, ameongoza shirika hilo lenye ushawishi mkubwa katika masuala ya uwazi wa kifedha na mfumo wa udhibiti wa nchi hiyo, likiwa na jukumu la kufanya uchunguzi wa kifedha na kudhibiti ufisadi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet