pmbet

Aucho,Chama waongoza jeshi la Singida BS kuifuata Flambeau.

Joyce Shedrack

October 17, 2025
Share :

Viungo wakongwe wa Singida BS, Clatous Chama na Khalid Aucho ni sehemu ya kikosi cha timu hiyo waliokwenda nchini Burundi kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Flambeau De Centre ya nchini humo.

Kikosi hicho kimekwenda Burundi kikipitia Jijini Dar es Salaam ambako waliweka kambi ya siku mbili kabla ya kuanza safari hiyo.

 

Singida BS itacheza mchezo huo Jumapili Oktoba 19.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet