Aulizwa kuhusu kutimkia Arsenal, Gyokeres ajibu “SIJUI”
Eric Buyanza
May 26, 2025
Share :
Akihojiwa kuhusu mustakabali wake mara baada ya kutamatika kwa mchezo wa klabu yake na Benfica hapo jana, mshambuliaji wa Sporting, Victor Gyokeres alijibu maneno haya “Embu tusubiri tuone”
"Ni vigumu kwangu kusema kwasababu hili ni soka. Huwezi kujua nini kitatokea kwenye msimu wa usajili ujao. Kwangu mimi kusema kitu kingine chochote haiwezekani."
Alipoulizwa kuhusu uwezekano wa kuhamia Arsenal, aliongeza: "Sijui.