pmbet

Aziz Ki aanza mazoezi Wydad

Sisti Herman

May 26, 2025
Share :

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Stephanie Aziz Ki akiwa kwenye mazoezi yake ya kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Wydad Athlethic Club ya Morocco.

 



Kiungo huyo wa timu ya Taifa ya Burkina Faso ametambulishwa rasmi jana kuwa mchezaji wa klabu hiyo huku kwenye tukio hilo akiambatana na mke wake Mtanzania Hamissa Mobeto.

Wydad inajiandaa na michuano ya kombe la dunia la vlabu linalotarajiwa kuanza mwezi ujao nchini Marekani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet