Camara na Che Malone kuikosa dabi ya Kariakoo kesho
Sisti Herman
March 7, 2025
Share :
Taarifa kutoka chanzo kinachoaminika ndani ya klabu ya Simba zimebainisha kuwa Mlinda lango namba moja wa timu hiyo Moussa Pinpin Camara na beki wa kati Che Malone Fondoh watakosekana mchezo wa kesho wa mchezo wa dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao Yanga.
Che Malone Fondoh bado hajapona jeraha alilopata kwenye mchezo dhidi ya klabu ya Azam.