pmbet

Camavinga apagawa na muziki wa Davido.

Joyce Shedrack

June 5, 2025
Share :

Kiungo wa klabu ya Real Madrid Eduardo Camavinga raia wa Ufaransa ameonyesha ushabiki wake na namna anavyoukubali muziki wa Afrobeat kutoka kwa Mwanamuziki Davido wa Nchini Nigeria.

Latest transfer news: Chelsea step up Kobbie Mainoo interest, Man City  chase Eduardo Camavinga | Transfermarkt

Camavinga ameonekana kusapoti ngoma za staa huyo wa Nigeria hasa kupitia album yake ya 5IVE aliyomshirikisha OmahLay mchezaji huyo 
ame-share kupitia insta story yake picha akiwa kwenye gari lake akipiga ngoma ya ‘withyou’ ya Davido.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet