pmbet

Dani Olmo kukosekana uwanjani kwa wiki 2.

Joyce Shedrack

March 28, 2025
Share :

Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Hispania na Klabu ya Barcelona Dani Olmo anatarajia kukosekana uwanjani kwa wiki mbili kutokana na jeraha alilolipata usiku wa jana kwenye dhidi ya Osasuna.

Dani Olmo time: the end of a 16-year odyssey to score for Barcelona | La  Liga | The Guardian

Olmo siku ya jana alitoka uwanjani kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa ligi Hispania Laliga kutokana na jeraha la misuli alilolipata licha ya kuisadia timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 akifunga goli 1 kwa mkwaju wa penati.

 

Nyota huyo wa zamani wa Rb Leipzig anatarajia kukosa michezo miwili hadi mitatu huku matumaini makubwa kwa Barcelona ni kuwa atakuwepo kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Borrusia Dortmund tarehe 9 April.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet