pmbet

Erik Ten Hag akubali kurithi mikoba ya Xabi Alonso.

Joyce Shedrack

May 23, 2025
Share :

Aliyewahi kuwa kocha wa Manchester United Erik ten Hag amekubali kujiunga na klabu ya Bayer Leverkusen kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Xabi Alonso kama kocha mkuu wa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.

Erik ten Hag lehet a Bayer Leverkusen vezetőedzőjeKocha huyo raia wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 55 anaripotiwa kukubali kurejea kwenye majukumu ya kufundisha soka baada ya kutokufanya kazi hiyo tangu alipopewa mkono wa kwaheri na Manchester United Oktoba 2024.

 

Ten Hag yupo mbioni kujiunga na Bayer Leverkusen inayokamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Ujerumani huku akitarajiwa kuanza kukisuka kikosi hicho kuanzia msimu ujao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet