pmbet

EX wa Eminem hatiani kwa kumg'ata askari.

Joyce Shedrack

July 16, 2026
Share :

Mke wa zamani wa rapa Eminem, Kim Scott, ameripotiwa kukamatwa baada ya kudaiwa kumng’ata na kumshambulia askari wa polisi wakati maafisa walipofika nyumbani kwake kufuatia taarifa za tukio la kujidhuru.
May be an image of one or more people, blonde hair and text that says '含花 FMF M.F.B BRANO JEA WORLO'
Kwa mujibu wa taarifa za polisi, Kim alidaiwa kuwa na tabia ya fujo alipokuwa akipatiwa msaada, ambapo pia aliripotiwa kumpiga teke askari mwingine na kukataa kukamatwa. Polisi walilazimika kutumia kifaa cha umeme (Taser) kumdhibiti kabla ya kumpeleka hospitalini kwa matibabu.

Baada ya tukio hilo, Kim anakabiliwa na tuhuma za kumshambulia askari wa polisi na kupinga kukamatwa. Hata hivyo, hali yake ya kiafya haijawekwa wazi rasmi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet