Federico Chiesa aikataa Liverpool kisa ufinyu wa namba.
Joyce Shedrack
June 7, 2025
Share :
Mchezaji wa Liverpool raia wa Italia Federico Chiesa ameonesha nia ya kutamani kuondoka klabuni hapo kutokana na kushindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Arne Slot.

Chiesa aliyejiunga na Liverpool August mwaka 2024 akitokea Juventus amefanikiwa kuchez mechi 6 pekee kwenye ligi kuu ya Uingereza msimu huu.
Nyota huyo anatajwa kurejea ligi kuu ya Italia kwenye timu ambayo atapata nafasi ya kuonesha kipaji chake licha ya kuwa bado ana mkataba wa kusalia kwa Mabingwa wa Uingereza hadi juni mwaka 2028.