pmbet

Fei hashikiki kwenye 'asisti' na 'mabao ya penalti' kwenye Ligi Kuu

Eric Buyanza

December 9, 2024
Share :

Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', anaongoza kwa kufunga na kutoa pasi nyingi za mwisho katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea. 

Pia nyota huyo wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), anaongoza kwa kufunga mabao mengi kwa penalti akiwa amefanya hivyo mara tatu.

Hadi kufikia raundi ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, mchezaji huyo ametoa asisti tano na kuwa juu ya orodha ya wachezaji waliotoa pasi za mwisho nyingi ambazo zilizaa mabao.

👉NIPASHE

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet