Golikipa wa Man U usajili bora wa msimu ligi kuu ya Uingereza.
Joyce Shedrack
June 1, 2026
Share :
Ligi Kuu ya Uingereza imemtangaza rasmi kipa wa Manchester United,Senne Lammens (23) kama usajili bora wa msimu 2025/26 huku akiwambwaga mastaa wengine saba wa ligi hiyo pendwa Duniani.
Kipa huyo raia wa Ubelgiji amewabwaga nyota kama👇
• João Pedro
* Granit Xhaka
• Rayan Cherki
.Adrien Truffert
• Viktor Gyökeres
* Antoine Semenyo
- Dominic Calvert-Lewin





