pmbet

Halley Bailey na DDG wapelekana polisi kisa sakata la mtoto.

Joyce Shedrack

May 14, 2025
Share :

Mrembo Halle Bailey anasema amechoshwa na mzazi mwenzie DDG anayedai kumnyima haki ya kuonana na mtoto wake tangu watengane, ripoti ya polisi iliyowakilishwa inasema kuwa Halley Bailey sasa anataka ulinzi ulioamriwa na mahakama dhidi ya baba wa mtoto wake.

Halle Bailey seeks court protection amid allegations of abuse by ex DDG
Katika hati hiyo, iliyowasilishwa siku ya jana Jumanne huko L.A, anadai kuwa hapo mwanzoni mambo yalianza kuwa sawa mnamo Januari ila waliachana mnamo Oktoba mwaka jana na Halle anasema DDG alikuja kumchukua mtoto ambaye ni wakiume, Huku Halley alijaribu kuanzisha mazungumzo na rapa huyo kuhusu ratiba ya kumtembelea mtoto lakini ilishindikana sababu ya DDG alikuwa hataki mazungumzo naye isipokuwa kuja mtandaoni na kulalamika anakosa haki ya kumuona mtoto jambo ambalo sio kweli.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet