pmbet

Harmonize kwenye penzi jipya na Malaika.

Joyce Shedrack

October 14, 2024
Share :

Staa wa bongofleva amechapisha video inayoonesha kuwa huwenda yupo kwenye penzi jipya na mfanyabiashara maarufu Malaika Cute aliyewahi kuwa kwenye mahusiano na Ricardo Momo.

Harmonize mechapisha video ya mwanadada huyo kwenye ukurasa wake wa instagram akimshirikisha ‘Collaborate’ Malaika kisha kuandika ujumbe kwa kiingereza akiuliza "Mnawaitaje Malaika kwa kilugha chenu?, ameuliza msanii huyo aliyetoka kutangaza siku chache zilizopita kuwa hawezi kukaa bila mpenzi.

 

Konde Boy alitangaza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Poshy Queen ijumaa ya wiki iliyopita huku akiwataka watu kutokumhusisha kuwa kwenye mahusiano na mwanamke yeyote kabla ya siku iliyofuata kuweka wazi kuwa kuna ujio wa mashine mpya kwa sababu hawezi kuishi 'single'.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet