pmbet

Ibraah aikaushia WCB atambulisha lebo yake mpya.

Joyce Shedrack

June 4, 2025
Share :

Mwanamuzi Ibraah ametambulisha uongozi wake utakaosimamia kazi zake baada ya kuachana rasmi na lebo ya Konde Gang miezi michache iliyopita.

Licha ya kuibuka kwa tetesi nyingi kuwa msanii huyo anaweza kusajiliwa na lebo nyingine huku wengi wao wakiitaja WCB Wasafi lakini staa huyo ameamua kuwa na wasimamizi wapya huku akijiita Oyaa Gang .

Oyaa Gang imewahusisha wazoefu wakubwa kwenye Game ya muziki na surprise kubwa ni #mrttouchez na #dontawamo ambao wamechukua mikoba ya konge gang.

Nini mtazamo wako kwenye Menejimenti mpya ya ibraah?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet