pmbet

Iddi Kipwagile ambwaga Pacome atwaa tuzo ya mchezaji bora.

Joyce Shedrack

May 3, 2025
Share :

Mshambuliaji wa Dodoma Jiji Iddi Kipagwile amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa nne akimshinda Pacome Zouzoua wa Yanga na Haruna Chanongo wa Tanzania Prisons.

Kipwagile alitoa mchango mkubwa kwa timu yake katika michezo minne ambayo Dodoma Jiji ilicheza mwezi huo na kufunga mabao matatu na kuhusika na mengine matatu katika dakika 320 alizocheza.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet