Jay Z amzawadia DJ Khaled gari aina ya BMW M3.
Joyce Shedrack
December 5, 2025
Share :
Rapa na mfanyabiashara maarufu wa Marekani Jay-Z amemzawadia rafiki yake DJ Khaled zawadi ya gari aina ya BMW M3 kama surprise ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
DJ Khaled, ambaye sasa ametimiza miaka 50, aliwahi kumiliki gari la aina hiyo akiwa bado mdogo na zawadi hii imeibua kumbukumbu hizo muhimu kwake.





