pmbet

John Heche Makamu Mwenyekiti mpya CHADEMA ambwaga Wenje.

Joyce Shedrack

January 22, 2025
Share :

John Heche ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) bara akipata kura 577 akiwashinda wapinzani wake Ezekia Wenje aliyepata kura 372 na Mathayo Gekul aliyepata kura 49 tu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet