pmbet

Karne ya 15, KOMWE lilitafsiriwa kuwa urembo wa hali ya juu

Eric Buyanza

December 31, 2024
Share :

Katika karne ya 15, mwanamke kuwa na 'Komwe Kubwa' alichukuliwa kama mwanamke mrembo sana na mwenye akili.

Hali hiyo ilipelekea wanawake wasio na komwe kunyoa nywele zao kwa staili ya kutoa nywele za mbele ili mradi tu vichwa vyao vionekane vina komwe 'la mchongo'.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet