pmbet

Katika ardhi ya Tanzania Mnyama Simba hajawahi kushindwa kitu

Eric Buyanza

May 24, 2025
Share :

Katika ardhi ya Tanzania Mnyama Simba hajawahi kushindwa kitu. Mifano iko mingi. Mingi mno. Naamini kila shabiki wa Simba SC atatimiza jukumu pake mama kimsingi.

 

Kushangilia na kuzomea, lakini wachezaji ndio wafanisi wenyewe kwenye vita hii ya kihistoria katika nchi na klabu kiujumla. Wachezaji ndio waliobeba dhamana na matumaini ya kubakisha kombe nyumbani au kombe liondoke.

 

Wafahamu fika historia itawakunbuka kwa mengi, lakini kumfanya Simba SC ainue kwapa la Kombe la Shirikisho historia itawakumbuka na kuwapa heshima zaidi.

 

Ameandika mwandishi wetu @abdulmkeyenge1

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet