pmbet

Kocha Mreno amrithi mreno mwenzake AC Milan

Sisti Herman

December 30, 2024
Share :

 

Klabu ya AC Milan imempa mktaba aliyekuwa kocha wa FC Porto Sérgio Conceição raia wa Ureno kuwa kocha wao mkuu baada ya kumtimu aliyekuwa kocha wao mkuu Paulo Fonseca ambaye pia ni raia wa Ureno.

Baada ya sare ya 1-1 dhidi ya AS Roma kwenye mchezo wa ligi kuu Italia (Serie A) Klabu ya AC Milan ilifikia hatua ya kumtimua kocha wao mkuu Paulo Fonseca kwasababu ya matokeo yasiyporidhisha.

AC Milan hadi sasa wapo nafasi ya 8 wakiwa na alama 27 tu baada ya michezo 17 ya ligi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet