Leo Mnyama atafanikiwa kurejesha furaha ya mashabiki wake?.
Joyce Shedrack
January 24, 2026
Share :
Klabu ya Simba leo saa 1:00 usiku wanataraji kushuka dimbani wakiwa ugenini nchini Tunisia wakicheza dhidi ya Esperance De Tunis, mechi ya Kundi D katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba na mwenyeji wake Esperance hawajapata ushindi katika mechi zao mbili zilizopita leo wanatarajia kusaka ushindi wa kwanza kwenye dimba la Hammadi Agreb.
Unadhani Mnyama @simbasctanzania atafanikiwa kurejesha matumaini ya mashabiki wake katika michuano hiyo?





