pmbet

Luis Enrique kama Guardiola na Ancelotti tu

Sisti Herman

June 1, 2025
Share :

Baada ya jana kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na PSG jana usiku, kocha Luis Enrique amefikisha mataji mawili ya michuano hiyo mikubwa Ulaya huku akiwa na timu mbili tofauti.

 



Enrique baada ya taji hilo sasa anakuwa kwenye orodha ya makocha wachache walioshinda taji hilo wakiwa na timu mbili tofauti ambao ni;

- Carlo Ancelotti
- Pep Guardiola
- Jose Mourinho
- Jupp Heynckes
- Ottmar Hitzfeld
- Ernst Happel

Mbali na rekodi hiyo kocha huyp pia ametwaa mataji yote yaliyoshindaniwa na PSG msimu huu kama alivyowahi kufanya akiwa na Barcelona.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet