Man United kuwafuta kazi zaidi ya wafanyakazi 200
Sisti Herman
May 23, 2025
Share :
Uongozi wa juu wa klabu ya Manchester United umewafahamisha wafanyakazi wake kwamba wanapoteza kazi saa 48 tu baada ya fainali.
"Wafanyakazi 200 wanaokabiliwa na kadhia ya kupunguzwa kazini watajulishwa hatima yao wiki hii huku wakiwa kwenye mshangao"
"Habari, inakuja mara tu baada ya kushindwa kwenye fainali za Europa Leagu dhidi ya Tottenham Hotspurs jijini Bilbao, lakini klabu inaonekana kuwa na nia ya kuweka akiba haraka iwezekanavyo" Craig Hope aliongeza katika makala yake.