pmbet

Man United timu pekee ambayo haijapoteza mechi Ulaya

Sisti Herman

May 20, 2025
Share :

Klabu ya Manchester United ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja kwenye michuano ya klabu barani Ulaya inayosimamiwa na shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA), hadi sasa msimu huu.

 



Michuano ya klabu barani Ulaya inayosimamiwa na UEFA ni;

- Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)
- Kombe la Europa ( UEFA Europa League)
- Kombe la Konfrensi (UEFA Confrence League)

Kwenye michuano ya Ulaya msimu huu hadi sasa Man United;

- Imecheza mechi 14
- Imeshinda mara 9
- Imepata sare mara 5

Man United itashuka dimbani kesho kwenye mchezo wa fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Totenham Hotspurs huko Bilbao Hispania.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet