Matheus Cunha atambulishwa rasmi Man United
Sisti Herman
June 1, 2025
Share :
Rasmi klabu ya Manchester United wamemtambulisha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Wolves Matheus Cunha kuwa mchezaji wao mpya kwa ada ya uhamisho wa pound million 62.5 (zaidi Tsh Bilioni 226).
Cunha raia wa Brazil atakua mchezaji wa United kwa mkataba wa miaka 5 huku ukiwa usajili wa kwanza kwa kocha Ruben Amorim toka atue United.