pmbet

Mbappé na Staa wa filamu wa Hispania wanaswa wakitoka mgahawani

Sisti Herman

March 11, 2026
Share :

 

Mikanda za video imemuonyesha staa wa real Madrid Kylian Mbappé na Staa wa filamu wa Hispania Ester Expósito wakiwa wametoka kwenye moja kati ya migahawa jijini Madrid.

Nyota huyo wa Real Madrid, 27, na mwigizaji huyo wa Kihispania, 26, walirekodiwa wakiondoka kwenye mgahawa wa Tatel mjini Madrid.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, wawili hao walifika saa 10 jioni na kuondoka ukumbini mwendo wa saa 1:20 asubuhi.

Kuibuka kwa video hiyo kumezidisha uvumi kwamba wapendanao hao wamekuwa wakionana kwa angalau mwezi mmoja.

Walakini, hakuna hata mmoja wa nyota ambaye amethibitisha mapenzi yao. Lakini pia hawakukataa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet