Klabu ya Manchester United wamejiunga kwenye mbio za kuwania kumsajili mshambuliaji wa Brentford, Bryan Mbeumo.
Timu ya Brentford iko tayari kukubali ofa ya karibu pauni milioni 60 kwa mchezaji huyo.