Mke wangu hucheza ngoma za Playboi Carti kila asubuhi - Obama
Eric Buyanza
March 24, 2025
Share :
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amempongeza rapa Playboi Carti kutokana na mafanikio ya albamu yake mpya, ‘I Am Music.’
Obama anasema yeye na mkewe, Michelle ni mashabiki wakubwa wa albamu hiyo, na kuongeza kuwa mke wake hucheza ngoma ya ‘TRIM’ kila asubuhi .
Carti 'alishare' screenshot za ujumbe aliopokea kutoka kwa Obama kupitia Instagram story.