Klabu ya Yanga imemtambulisha kiungo Mohamed Doumbia raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 26 akitokea Dulka Prague ya jamhuri ya Czech.