Mtanzania wa Twiga Stars ajiunga na Bristol ajiunga na Uingereza
Sisti Herman
January 31, 2025
Share :
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Malaika Meena amejiunga rasmi na klabu ya Bristol Women ya nchini Uingereza akitokea Wake Forest Women's Soccer ya nchini Marekani.
Malaika aliitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Twiga Stars) mara kadhaa kwenye michezo ya hivi karibuni kwaajili ya michezo ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Morocco na Senegal.