Mtoto wa maajabu aanza dhidi ya Tz Prisons Kibu Denis akosekana benchi.
Joyce Shedrack
February 11, 2025
Share :
Jeshi la Mnyama dhidi ya Tanzania Prisons Mgeni rasmi wa leo Ladack Chasambi ameanza wakati Kibu Denis akiendelea kukosekana kwenye kikosi cha Mnyama.
Kibu Denis anaendelea kuuguza majeraha aliyoyapata kwenye mchezo uliopita huku akitegemewa kurejea kikosini hivi karibuni.