Naamini katika nguvu ya mashabiki, hasa tukiwa nyumbani - Zubeda
Eric Buyanza
May 21, 2025
Share :
“Naamini katika nguvu ya mashabiki, hasa tukiwa nyumbani Tanzania. Mimi niendelee kuwashukuru Wanasimba kuendelea kuiunga mkono klabu na kinachokwenda kutokea Jumapili pale Aman Stadium ni UBAYA UBWELA.”
Amesema Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Zubeda Sekuru kupitia Clouds FM.