pmbet

"Naisubiri kwa hamu mechi dhidi ya Man U ili Niwaue" Rayan Cherki.

Joyce Shedrack

June 16, 2025
Share :

Baada ya kutambulishwa ndani ya klabu ya Manchester City kiungo wa Ufaransa aliyetokea klabu Lyon Rayan Cherki ameonesha nia ya kutaka kulipiza kisasi kwa Manchester United baada ya klabu hiyo kuwaondosha katika mashindano ya Europa April mwaka huu kufuatia kipigo cha jumla ya magoli 7-6.

Natural entertainer Rayan Cherki ready for test of maturity at Manchester  City | Manchester City | The Guardian

Nyota huyo aliyekutana na kikosi cha Amorim katika hatua ya robo fainali ya Europa akiwa na klabu yake ya zamani amesema hakufarahishwa kufungwa na Manchester United msimu huu na anausibiri kwa hamu mhezo dhidi ya Man U ili kuwaua.

 

“Sikupenda Manchester United iliposhinda mchezo dhidi ya Lyon kwa sababu mimi ni Lyonnais sikufurahishwa kiuweli,Kwa sasa nasubiri mchezo dhidi ya Man United kwenda kuwaua nipo hapa kushinda kila mchezo” Amesema Cherki.

 

Kiungo huyo amejiunga na Man City na ametambulishwa rasmi kwenye kikosi cha Pep Guardiola siku nne zilizopita huku akitajwa kuwa mrithi wa Kevin De Bruyne ambaye msimu ujao hatakuwa sehemu ya timu hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet