pmbet

Nandy kutoa zawadi ya Milioni 10 kwa atakayepata pete zake.

Joyce Shedrack

June 3, 2025
Share :

Msanii wa  muziki wa Bongofleva na mmiliki wa lebo ya The African Princess ambaye ni mke wa mwanamuziki Billnass,Nandy ametangaza kupoteza pete zake mbili za ndoa katika mazingira ya kutatanisha huku akiahidi zawadi ya Shilingi Milioni 2 kwa yeyote atakayezipata.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nandy ametoa taarifa hiyo akiomba yeyote atakayeziona ampe taarifa kupitia instagram yake.

 

“Wapenzi wangu nimepoteza pete zangu za ndoa.. katika mazingira ya kutatanisha. Plizz atakaye ziona au kama kuna sonara amepelekewa naomba sana ani-check kwa DM! Nitatoa zawadi ya milioni 10. Pete zangu zina memory kubwa sana maishani mwangu.” Ameandika Nandy.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet