pmbet

Napenda kumtazama Lamine, ndiye mchezaji bora duniani - Cole Palmer

Eric Buyanza

May 16, 2025
Share :

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Cole Palmer amesema anaamini Lamine Yamal ndiye mchezaji bora zaidi duniani, na kuongeza kuwa anapenda kumtazama nyota huyo wa Barcelona akiwa kazini.

Palmer alisema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na televisheni maarufu ya michezo ya Sky Sports.

"Nadhani yeye ndiye mchezaji bora zaidi duniani kusema ukweli, jinsi anavyocheza anajiamini na hana hofu yoyote, na ninapenda kumtazama," amesema Palmer.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet