pmbet

Ni muda wa wananchi kusimama nyuma ya Chama

Eric Buyanza

May 22, 2025
Share :

Ukurasa wa Aziz KI na Yanga SC umefungwa rasmi juzi jioni katika dimba la Mkwakwani pale Tanga. Jana jioni alikuwa miongoni mwa abiria waliopanda Ndege ya kwenda Morocco kujiunga na Waydad Casablanca. Nini Yanga SC wafanye?

 

Kwanza hawatakiwi kuwa na papara wala pupa, wana Aziz KI wawili ndani ya timu yao. Wana Chama na Pacome, hawa wote wanaweza kukupa huduma ya Aziz KI. Sana sana Chama ambaye muda mwingi alifunikwa na kivuli cha Aziz KI. Ni muda wa Wananchi kusimama nyuma ya Chama na kupata kilicho bora kutoka kwake.

 

Ameandika mwandishi nguli wa PMTV @abdulmkeyenge1

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet