pmbet

Nikiwa Arsenal, nina furaha sana - Riccardo Calafiori

Eric Buyanza

June 16, 2025
Share :

Riccardo Calafiori ameweka wazi kuwa ana furaha ndani ya Arsenal na hatarajii kurejea Serie A.

Akijibu uvumi kwamba anaweza kurejea Italia, Calafiori anasema: "Nikiwa Arsenal, nina furaha sana.

"Siku zote huwa najisikia vizuri katika nafasi yoyote ninayocheza ili kuisaidia timu. Nilikosa uthabiti msimu uliopita lakini nitajitahidi msimu ujao.


"Kila mara nilicheza na kuleta mabadiliko katika timu. Hivyo lengo la msimu ujao ni kuwa katika fomu kwa msimu mzima."

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet