pmbet

Nondo ya Pickford yakamatwa na Messi baada ya mchezo.

Joyce Shedrack

July 16, 2026
Share :

Nahodha wa Argentina, Lionel Messi pamoja na wachezaji wenzake waliipata chupa ya maji ya kipa wa Ungereza Jordan Pickford iliyokuwa na maelezo kuhusu wapigaji wa penati wa Argentina.

Jordan Pickford's water bottle explained: The penalty plan Messi and  Argentina discovered after beating England - AS USA

Golikipa wa Uingereza Pickford aliiacha chupa hiyo uwanjani baada ya Uingereza kupoteza mchezo kabla ya kufikia hatua ya mikwaju ya penalti na mchezo kutamatika kwa comeback ya mabao 2-1 dakika za jioni kabisa za mchezo huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet