pmbet

Noti ya elfu 10 ndiyo inayoongoza kwa kutumika zaidi nchini

Eric Buyanza

May 16, 2025
Share :

Takwimu mpya zilizotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), noti ya Sh 10,000 imebainika kuwa ndiyo inayoongoza kwa mzunguko wa fedha nchini—ikiwa noti za Sh 10,000 zilizopo kwenye mzunguko ni trilioni 7.1. 

Hii ni tofauti kubwa ikilinganishwa na pesa nyingine kama Sh 5,000, Sh 2,000, Sh 1,000, Sh500, Sh 200, Sh 100 na Sh 50 ambazo ziko chini ya Sh bilioni 50 kwa kila moja kwa mzunguko.

Aidha, Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba, ameeleza kuwa baada ya msimu wa mavuno, hasa kati ya Agosti na Septemba, wakulima hupokea kiasi kikubwa cha fedha wanapouza mazao kama vile mahindi na mpunga, na katika hali kama hizo, noti ya Sh10,000 hupendelewa kwa urahisi wa kubeba na kutumia. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet