pmbet

Polisi washindwa kumkamata Nick Minaj.

Joyce Shedrack

January 7, 2025
Share :

Siku za hivi karibuni aliyekuwa meneja wa zamani wa Rapa Nick Minaj alifungua kesi ya kumshtaki Nick kwamba aliwahi kumpiga na kumtamkia kauli mbaya Meneja Brandon Garrett, nyuma ya jukwaa la Little Caesars Arena, Detroit, April Mwaka Jana 2024.

Sasa Inasemekana Kuwa Ombi La Kibali Cha Kukamatwa Kwa Nicki Minaj Kilichoombwa Na Polisi Wa Detroit Hivi Karibuni Limekataliwa.

Kwa Mujibu Wa TMZ, Mwakilishi Wa Ofisi Ya Waendesha Mashtaka Kaunti ya Wayne, Ni Kwamba Wamepitia Ombi Hilo Lakini Wameamua Kulipiga Chini Kwasababu Ya Ushahidi haujatosha .

Hata Hivyo Ofisi Ya Waendesha Mashtaka Imewataka Idara Ya Polisi Wa Detroit Kufanya Uchunguzi Zaidi Juu Ya Tukio Hilo Haraka iwezekanavyo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet