pmbet

PSG na Arsenal mmoja kumwaga machozi usiku wa leo.

Joyce Shedrack

May 7, 2025
Share :

Burudani ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inaendelea usiku wa leo kwa mchezo mmoja na wa mwisho wa Nusu Fainali kati ya PSG na Arsenal utakaoamua nani atamfuata Inter Milan fainali.

Paris vs Arsenal | UEFA Champions League 2024/25 | UEFA.com

Arsenal atakuwa ugenini siku ya leo majira ya saa nne usiku kutafuta tiketi ya kufuzu fainali hiyo huku akihitaji ushindi wa magoli 2-0 kwenye dimba la Parc des Princes ili kuwa mbele ya PSG kwa jumla ya magoli 2-1 kutokana na kupoteza mchezo wa kwanza walipokuwa nyumbani wiki iliyopita kwa goli 1-0.

 

Mchezo huo unakuja kufuatia mchezo wa Nusu Fainali siku ya jana kati ya Inter Milan na Barcelona kuwa wa kipekee na kuzalisha jumla ya magoli 13 huku ukiingia kwenye historia ya mchezo wa pili wa Nusu fainali  ya michuano hiyo uliozalisha idadi kubwa ya magoli.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet