pmbet

Rapa Tory Lanez ahamishwa gereza baada ya kuchomwa kisu.

Joyce Shedrack

May 23, 2025
Share :

Taarifa zinasema kuwa Rapa Tory Lanez amehamishwa kwenda gereza lingine baada ya tukio la kuchomwa na kisu mara 14 lililotokea katika Gereza la California Correctional Institution huko Tehachapi, ambako alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi Megan The Stallion mwaka 2020.

Tory Lanez: Rapper stabbed 14 times in prison California prison - BBC News
Vyanzo vinaeleza tukio hilo lilihusiana na magenge ya uhalifu, hasa kundi la Bloods, ingawa majeraha aliyoyapata  Lanehayakuwa ya kutishia uhai wake lakini baada ya tukio hilo amehamishiwa katika Gereza la North Kern State Prison lililopo Delano, California kutokana na sababu za kiusalama wake.

Hata hivyo, Idara ya Magereza na Marekebisho ya Tabia ya Jimbo la California haijathibitisha rasmi maelezo ya tukio hilo au uhamisho huo, ikitaja sababu za siri na usalama.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet